
β½οΈ Mabao 8
π Pasi za mabao (Assists) 20
π
Pasi nyingi zaidi za mabao
π
Pasi nyingi zaidi zilizotarajiwa kuzaa mabao (Expected assists)
π
Nafasi nyingi zaidi zilizotengenezwa
π
Nafasi nyingi zaidi za wazi zilizotengenezwa
π
Nafasi nyingi zaidi za wazi zilizotengenezwa kwenye mchezo wa kawaida (Open play)
π
Pasi nyingi zaidi sahihi zilizopigwa ndani ya sanduku la hatari (Box)
π
Nafasi nyingi zaidi za wazi zilizotengenezwa kwenye mchezo wa kawaida
Msimu wa kuandika historia. πβ¨

