NATHANIEL RAPHAEL CHILAMBO amekamilisha Uhamisho wake kujiunga na Simba Sports Club akitokea Azam FC ambapo anamaliza mkataba wake na Matajiri hao wa Chamazi, Chilambo (24) anatazamwa kuwa mbadala wa Nyota Shomari Salum Kapombe wakati ambao pia Azam walifanya jitihada za kumbakisha Nyota huyo wa Tanzania.


