πΏπ¦ Justice Figuareido (27) amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili. β
β½ Mshambuliaji huyo wa kati ametua Yanga akitokea Chippa United ya Afrika Kusini.
π° Yanga wamemnasa nyota huyo baada ya kumalizana na Chippa United, huku akiwa amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake.
