
Bournemouth imeendeleza rekodi yake nzuri baada ya kushinda michezo 10 mfululizo katika mashindano yote.
Matokeo ya michezo hiyo:
2-1 dhidi ya Celta Vigo
2-0 dhidi ya Nottingham Forest
2-1 dhidi ya Ipswich
3-1 dhidi ya Sparta Prague
2-0 dhidi ya Leeds United
3-0 dhidi ya Aston Villa
3-0 dhidi ya Manchester United
3-0 dhidi ya AC Milan
2-0 dhidi ya Sunderland
3-0 dhidi ya Sturm Graz
Mechi 10, ushindi 10, mabao 25 ya kufunga na mabao 3 ya kufungwa!
