Singida Black Stars wamekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Ivory Coast,Jean-Charles Ahoua (24).
Jini amesaini miaka miwili na Singida kama mchezaji huru baada ya kuachana na Belouizdadβ
Jini atakuwepo Kagame Cupβ
π₯
