
Hervé Renard Atakuwa Kocha Mkuu Mpya wa Tunisia! 🇹🇳 kuchukua mikoba Sabri Lamouchi aliyetimuliwa baada ya timu hiyo kufungwa bao 5-1 na Sweden kwenye fainali za kombe la dunia.
Shirikisho la Soka la Tunisia linasonga mbele kwa haraka kumteua Hervé Renard kwa mkataba wa muda mrefu, huku tangazo rasmi likitarajiwa leo ili aanze kazi mara moja. ✍️
Ikithibitishwa, Tunisia itakuwa timu ya tano ya Kiafrika inayosimamiwa na kocha mzoefu wa Ufaransa:
🇿🇲 Zambia
🇦🇴 Angola
🇨🇮 Côte d’Ivoire
🇲🇦 Moroko
🇹🇳 Tunisia
Mtaalamu wa kweli wa soka wa Kiafrika aliye tayari kwa changamoto nyingine
