
Klabu ya PSG – Paris Saint-Germain ipo kwenye Mazungumzo na Mshambuliaji Wao hatari Ousmane Dembélé Katika Mpango Wa kuongeza Mkataba mpya ndani ya Klabu hiyo Huku Kila kitu kikiwa kipo tayari na uwamuzi huo umepangwa kufikiwa ili aweze kuongeza Mkataba baada ya Kombe la Dunia kumalizik
Source: FabriceHawkins
