
⚽️ Mabao 8
👟 Pasi za mabao (Assists) 20
🏅 Pasi nyingi zaidi za mabao
🏅 Pasi nyingi zaidi zilizotarajiwa kuzaa mabao (Expected assists)
🏅 Nafasi nyingi zaidi zilizotengenezwa
🏅 Nafasi nyingi zaidi za wazi zilizotengenezwa
🏅 Nafasi nyingi zaidi za wazi zilizotengenezwa kwenye mchezo wa kawaida (Open play)
🏅 Pasi nyingi zaidi sahihi zilizopigwa ndani ya sanduku la hatari (Box)
🏅 Nafasi nyingi zaidi za wazi zilizotengenezwa kwenye mchezo wa kawaida
Msimu wa kuandika historia. 📚✨


