
π¬π² Buba Jammeh amekamilisha usajili wake wa kujiunga na π¦π΄ Wiliette ya Angola kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine. β
π Yanga wamevunja mkataba wa winga huyo, hivyo ameondoka kama mchezaji huru.
ποΈ Kwa sasa Buba yupo π¬π² Gambia kwa mapumziko, kabla ya kutua Angola wiki ijayo kuanza maisha mapya na Wiliette.
π Safari ya Buba Jammeh ndani ya Yanga imefikia tamati.
