
šØ šššššššš: #Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Morgan Rogers kutoka #AstonVilla kwa ada ya pauni million 117 (Ā£117M).
Vipimo vya afya vinatarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu. šµāļø
šØ #Arsenal walikuwa na nia ya kumsajili Morgan Rogers, lakini Rogers alitaka kujiunga na Chelsea pekee.
Aliikataa Arsenal ili ajiunge na Chelsea.

