

✅ Mataifa yaliyofuzu moja kwa moja:
🇪🇸 Spain
🇲🇦 Morocco
🇵🇹 Portugal
🏟️ Yamefuzu moja kwa moja kama wenyeji wa Kombe la Dunia 2030.
🇦🇷 Argentina
🇺🇾 Uruguay
🇵🇾 Paraguay
🎉 Yamepewa nafasi ya moja kwa moja kuadhimisha miaka 100 tangu kufanyika kwa Kombe la Dunia la kwanza mwaka 1930.
🔥 Safari ya kuelekea Kombe la Dunia 2030 imeanza rasmi!

