

Timu ya Orlando Pirates imetangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu wa 2025/26
Ni mafanikio makubwa kwa “The Buccaneers” waliotwaa taji lao la kwanza la ligi tangu msimu wa 2011/12
Msimu wa kipekee uliojaa ubora, nidhamu na uthabiti kuanzia mwanzo hadi mwisho:
▫️ Mechi 30
▫️ Pointi 69
▫️ Magoli 58 ya kufunga
▫️ Magoli 12 pekee ya kufungwa
Kikosi kilichojengwa kwa uwiano mzuri, nidhamu ya hali ya juu na moyo wa ushindi hatimaye kimerejea kileleni mwa soka la Afrika Kusini
Msimu wa kihistoria. Kurudi kwa kishindo.


