π¨ OFFICIAL : Sabri Lamouchi ameripotiwa kufutwa kazi kama kocha wa Tunisia kufuatia kipigo cha aibu cha 5-1 dhidi ya Sweden leo! πΉπ³β
πΉπ³ Mondher Kebaier atachukua jukumu la kuinoa Carthage Eagles kwenye mechi zilizobaki za kampeni yao ya Kombe la Dunia. π€―
π Rekodi ya Sabri Lamouchi:
π Mechi 5
β
Bao 1 la kufunga
β
Ushindi 1
π€ Sare 1
β Vipigo 3
β½οΈ Mabao 11 ya kufungwa
Source Ben Jacobs

