2010: Spain walishinda Kombe la Dunia 🏆
2010/11: Man United walishinda Premier League 🏆
2026: Spain wameshinda Kombe la Dunia 🏆
2026/27: ⏳🏆
❓Unafikiri Manchester United wanaweza kurudia historia ya msimu wa 2010/11?
❤️ = United watafanya hivyo!
😂 = Klabu nyingine itatwaa ubingwa.
👍 = Msimu huu hautabiriki kabisa.


