
Inter Miami wametoa taarifa kuhusu Lionel Messi baada ya kutoka katika mchezo wao wa mwisho wa MLS kabla ya Kombe la Dunia siku ya Jumapili kutokana na jeraha linalodaiwa kuwa amepata.
“Kufuatia vipimo zaidi vya kimatibabu vilivyofanywa Jumatatu hii, uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa ana mkazo unaohusiana na uchovu wa misuli katika paja lake la kushoto,” ilisema taarifa hiyo.
“Muda wa kurejea kwake kwenye mazoezi utategemea maendeleo yake kiafya na kimwili.”
Bila shaka lazima atakuwepo kombe la dunia kama kawaida.
Nani GOAT kati Ya MESSI na RONALDO..??🫵😂
Messi Ndio GOAT 👍
Ronaldo Ndio GOAT 🔥


