
> Sikua na siku nzuri kazini nimekosea na kuigharimu TEAM nimewaangusha wachezaji wenzangu na mashabiki hakunakisingizio na ntawajibika na kupokea lawama zote kwa mchezo wa leo. Wananchi hamkustaili kuona juhudi zenu na sapoti zikiishia bila furaha.
> Nimejifunza kwa makosa na ntapambana zaidi kurudi nikiwa bora kuliko leo.


