Makubaliano yamefikiwa kwa ada ya jumla ya €41M, Bamba amekubali masharti ya mkataba na amesafiri kwenda England kwa ajili ya vipimo vya afya ✈️
Taarifa rasmi ya klabu itafuata, lakini kila kitu kimekamilika, kwa mujibu wa Fabrice Hawkins; Bamba atasaini mkataba wa muda mrefu, huku kukiwa na kipengele cha 15% ya mauzo yake ya baadae.

