
π¨ ππππππππ: #Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Morgan Rogers kutoka #AstonVilla kwa ada ya pauni million 117 (Β£117M).
Vipimo vya afya vinatarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu. π΅βοΈ
π¨ #Arsenal walikuwa na nia ya kumsajili Morgan Rogers, lakini Rogers alitaka kujiunga na Chelsea pekee.
Aliikataa Arsenal ili ajiunge na Chelsea.

