

Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 (Tanzanite Queens) imefuzu Kombe la Dunia mwaka 2026, kwa faida ya goli la ugenini.
Katika mchezo wa kwanza nchini Cameroon mchezo ulimalizika kwa Tanzania kufungwa 3-1, na katika mchezo wa marudiano imeshinda 2-0.



