
#dreamtz Muonekano wa Uwanja wa Uhuru ambao ulikuwa ukifanyiwa marekebisho makubwa katika maeneo mbalimbali kama vile vyumba vya kubadilishia nguo, vyoo, Majukwaa (yamewekwa Viti), Eneo la kuchezea (nyasi bandia).
Aidha umewekwa taa na ukishafunguliwa utakuwa ukitumika pia kwa michezo ya usiku.

