🚨 Manchester City wamethibitisha kuwa Rodri atafanyiwa upasuaji kutokana na jeraha la mgongo, huku muda wa kurejea kwake uwanjani ukiwa bado haujajulikana.
_Nahodha huyo wa Hispania, aliyeshinda Tuzo ya Golden Ball baada ya kuiongoza nchi yake kutwaa Kombe la Dunia siku chache zilizopita , alicheza mechi zote 8 za mashindano hayo licha ya kutoka kwenye msimu uliogubikwa na majeraha akiwa Manchester City._
Sasa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 30 anakabiliwa na kipindi kingine cha kukaa nje ya uwanja kutokana na jeraha hilo. 🇪🇸💔

