
Klabu ya Hapoel Petah Tikva FC ya Israel š®š± imekamilisha usajili wa Kiungo mshambuliaji Karim Kimvuidi (24) šØš© kwa mkataba wa muda mrefu akiwa mchezaji huru.šš©µ
Karim Kimvuidi amejiunga na klabu hiyo ya Israel baada ya kuachana na Orlando Pirates šæš¦ kwa makubaliano ya pande zote ambapo waliamua kusitisha mkataba wa mwaka mmoja uliokuwepo baina ya pande zote mbili.

