
Hakuna makubaliano ya mkopo wala uhamisho wa kudumu wa Selemani Mwalimu πΉπΏ kwenda Simba.
Mchezaji ana mkataba unaofanya kazi na Wydad.
Klabu itachukua hatua za kisheria ili kulinda haki zake na maslahi yake kutokana na chapisho la Simba.
π Taarifa ya Wydad π²π¦
Kimewaka huko