π¨ ππππππππ: Chelsea *HAIJASIMAMA* baada ya kukamilisha dili la Rogers na bado inaendelea na mazungumzo rasmi ya kumsajili Lacroix! π£π΅
Mazungumzo yanaendelea kati ya klabu na Crystal Palace, na beki huyo pia ameonyesha kuwa yuko tayari kujiunga na Chelsea tangu mwezi Juni ππ«π·
Chelsea itasajili mabeki wawili wa kati kulingana na wachezaji watakaoondokaβ¦ na Lacroix yuko tayari kuhamia Stamford Bridge β huku mazungumzo kuhusu bei ya uhamisho yakiendelea π
*HAKUNA KUSIMAMA KWA THE BLUES. π€π₯*
