Ángel Di María amesema hana shaka kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka. Amedai Cristiano Ronaldo alikosa bahati kwa kucheza katika zama ambazo Messi alikuwepo, akisisitiza kuwa mafanikio ya Messi kama Ballon d’Or 8, Kombe la Dunia na mataji ya Copa América yanajieleza yenyewe.
Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka duniani.
Wewe unasemaje? Je, unakubaliana na Di María kuwa Messi ndiye GOAT, au unaamini Ronaldo anastahili heshima hiyo?
MESSI ❤️
RONALDO👍


