🗣️ “Ukiangalia jinsi Spain inavyocheza, kila mchezaji anajua jukumu lake. Ndiyo maana wanashinda, si bahati. Wanastahili mafanikio yao kwa sababu wanafanya kazi kama timu.”
_Ronaldo ameongeza kuwa timu kubwa ni zile ambazo wachezaji wake wanaelewa wazi majukumu yao uwanjani._
