

Sisi wachezaji tumejiandaa vizuri na tunakwenda kumalizia maandalizi jioni ya leo, tuna imani tunakwenda kufanya vizuri hapo kesho kwakuwa kila mmoja wetu anatambua. Umuhimu wa alama tatu za kesho”
“Ukipoteza mchezo wa kesho maana yake kwenye mbio za ubingwa utakuwa una suasua, hivyo tunatambua umuhimu wa kushinda kesho ili tuongeze gap la alama kati yetu na mpinzani wetu” zimbwe
Steve Barker, kocha wa Simba S“Kama hatutapata ushindi kesho, ni kama tutajiondoa wenyewe kwenye kinyang’anyiro cha ubingwa, kwa sababu sioni Yanga wakipoteza alama nyingi mbele ya safari. Tunahitaji kupunguza tofauti ya alama ili mbio za ubingwa ziendelee kuwa wazi. Vinginevyo, mambo yatakuwa magumu sana.”
Kwa kifupi, matumaini ya Simba kubaki kwenye mbio za ubingwa yanategemea ushindi dhidi ya Yanga SC kesho.

