
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetoa uamuzi kwamba Senegal ndiyo mabingwa wa AFCON 2025. πΈπ³
Senegal awali ilishinda fainali kwa bao 1-0, kabla ya CAF kulinyangβanya taji hilo na kulikabidhi Morocco baada ya wachezaji wa Senegal kuondoka uwanjani kupinga uamuzi wa mwamuzi wa kutoa penalti.
Hata hivyo, CAS sasa imeirejeshea Senegal taji hilo la AFCON 2025! ππ₯


