
Klabu ya #yangasc imrkamilisha usajili wa kinda machachari Juma Issa Abushiri maarufu kama chuga boy akitokea fountain gates fc.

Licha ya kuhusishwa kujiunga na klabu ya krc Genk ya ubeligiji lakini yanga wamefanikiwa kuinasa saini ya Mchezaji huyo kwa ajili ya msimu ujao 2026\27 huku kukiwa na matumaini makubwa kutokana na umri wake mdogo

