
Klabu ya Simba wako kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Stade Malien,raia wa Cameroon,Taddeus Nkeng (26).
Nkeng amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Malien,huku Simba wakipambana kuvunja mkataba huo ili kupata huduma yake.
Msimu uliopita Nkeng alifunga goli (4) kwenye mechi (5) za CAF Champions league.
Simba wana-push kumpata ili kuziba pengo la Sowah.
