
Winga nyota na chipukizi kutoka Nigeria, Victor Udoh (21), amekutwa akiwa amefariki asubuhi ya leo baada ya kutoka usiku akiwa na rafiki zake.
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, winga huyo wa zamani wa Southampton F.C. na Royal Antwerp F.C.
zinaeleza kuwa huenda chanzo cha kifo hicho kikawa ni sumu iliyotokana na chakula au pombe, ingawa uchunguzi rasmi bado unaendelea kuthibitisha chanzo halisi.
Tuwe Makini sana na Marafiki zetu kwasababu ndio Maadui Namba moja ambao hawapendi Mafanikio Yetu🥺


