
Aziz Ki anataka kurejea Yanga na tayari taratibu za kumrejesha zimeanza. Muda wowote kuanzia sasa Yanga watatuma ofa kwenda Al Ittihad SC ya Libya🇱🇾 January hii Aziz ki alijiunga na Al Ittihad SC kwa mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya $400,000 (tsh 1,048,001,200). Sasa Yanga wanataka kumrejesha baada ya kugundua na yeye anataka kurejea


