
β
Klabu ya Simba SC Tanzania πΉπΏimefikia makubaliano na beki wa kulia wa Azam FC Nathaniel Chilamboβ
Chilambo ambaye anamaliza mkataba wake na Azma Fc mwishoni mwa msimu huu, Tayari amesaini Pre – Contract ya misimu miwili na Simba Huyu ni mnyama mpya unyamaniπ΄βͺπ°πΉπΏπ