

Mashetani Wekundu, Manchester United wamelazimishwa sare ya 2-2 ugenini dhidi ya AFC Bournemouth katika dimba la Vitality wakati mashetani hao wakimaliza wakiwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Harry Maguire kuoneshwa kadi nyekundu.
FT: Bournemouth 2-2 Man United
⚽ 67′ Ryan Christie
⚽ 81′ Junior Kroupi
⚽ 61′ Bruno (P)
⚽ 71′ James Hill (og)
🟥 80′ Maguire




