
Saa 8:00 Mchana , Mtibwa Sugar watakuwa uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha Singida Black Stars.
Saa 10:15 Jioni , KMC watakua katika uwanja wao wa nyumbani KMC Complex wakiwakaribisha matajiri wa jiji la DSM klabu ya Azam .
Saa 1 Usiku , Wauaji wa Kusini klabu ya Namungo watakua katika dimba la Majaliwa, Lindi wakiwakaribisha wananchi klabu ya Yanga,
Saa 3 Usiku , Wajelajela klabu ya Tanzania Prosns watakua katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakimkaribisha mnyama klabu ya Simba.




