
Real Madrid CF wamezifunga timu 112 kati ya 115 walizokutana nazo kwenye mashindano ya Ulaya! 🤯⚽
Lakini kuna timu TATU TU ambazo hawajawahi kuzifunga 👇
❌ Arsenal FC — hawajapoteza katika mechi 4 🏴
❌ AEK Athens FC — hawajapoteza katika mechi 2 🇬🇷
❌ LOSC Lille — hawajapoteza katika mechi 1 🇫🇷
Rekodi ya kipekee kabisa — lakini hawa watatu bado ni “mwiba”! 👀🔥


