UJUMBE MUHIMU KWA WATU WOTE.
1. Aina za Makampuni, sifa zake na Tofauti zake.
2. Sheria zinazotakiwa Wakati wa Usajili na Uendeshaji.
3. Hatua na Michakato ya Usajili na Uendeshaji.
4. Usimamizi Wa Kampuni.
5. Vyanzo vya Mitaji ya kuwekeza kwenye kampuni.
6. Uongozi wa kampuni jinsi unavyotengenezwa.
7. Mgawanyo wa Majukumu kwa kila kiongozi wa kampuni.
8. Jinsi ya kutafuta Wawekezaji kwenye kampuni.
9. Jinsi ya kuorodhesha kampuni kwenye soko la Hisa na kutoa Hatifungani.
10. Mambo ya kuyaepuka unapoendesha kampuni.
11. Jinsi ya kutanua biashara ya Kampuni ndani na nje ya nchi.
12. Hatua za kuajiri wafanyakazi wanaofaa.



