1. Viatu vyako ndio vitu vya kwanza ambavyo hutoa taarifa kwa watu kuhusu wewe . Hivyo daima vaa viatu vizuri.
2. Kama unakaa kwa zaidi ya masaa kumi na moja kwa siku basi kuna uwezekano wa wewe kufa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
3. Kuna watu 6 hapa duniani ambao hufanana na wako kama wewe. Na kuna asilimi 9% za uwezekano wa wewe kuonana na mmoja wa katika maisha yako hapa duniani.
4. Kulala bila mto inakusaidia kukupunguzia maumivu ya mgongo na kuifanya misuli ya mgongo kuwa na nguvu.
5. Urefu wako unafanana au kulinganishwa na ule wa baba yako na uzito wako huwa unafakuwa sawa na ule wa mama yako au hulinganishwa.
6. Kama sehemu ya mwili wako italala basi mara nyingi huamshwa kwa kutikisa kichwa chako
7. Kuna vitu vitatu ambavyo ubongo wa binadamu ni lazima uvitambue kwa haraka – Chakula, watu wazuri au wavutiao na hatari
8. Watu amabo hutumia mkono wa kulia katika kazi zao basin a chakula hutafunia upande wa kulia pia.
9. Kuweka majani ya chai kwenye viatu vinavyonuka husaidia kupunguza harufu kali
10. Kupitia Albert Einstein, anasema kama nyuki na asali vingepotea duniani basi kuna uwezekano mkubwa kuwa binadamu tungekuwa ndani ya kipindi cha miaka 4 .
11. Kuna aina nyingi ya matunda jamii ya apple na kama binadamu ukisema ule kila siku aina mpya basi kuna uwezekano wa kujaribu kwa kipindi cha miaka 20.
12. Unaweza ukajitahidi kutoka kula kwa wiki na siku kadhaa usife ila utaishi siku 11 tu kama hutalala.
13. Watu wanaocheka sana wana afya bora zaidi ya wale wasio cheka.
14. Uvivu na kutojishughulisha kuna ua kama vile uvutaji wa sigara unavyoua.
15. Ubongo wa binadamu unauwezo wa kuhifadhi habari mara tano ya uwezo wa Wikipedia
16. Ubongo wetu hutumia nguvu sawa na ilenguvu ya bulb ya watt 10
17. Miili yetu hutoa joto ndani ya dakika 3o ambalo huweza kuchemsha lita moja na nusu ya maji.
18. Mayai ya kike kwa binadamu ndio cell kubwa na mbegu za kiume ndio cell ndogo zaidi.
19. Tindikali acid (conc. HCl) iliyopo tumboni mwako inauwezo wa kuuharibu wembe.
20. TABASAMU. Ndio dawa ya mwisho ya kukuokoa na msongo wa mawazo



