Naongea kama ndugu/rafiki yenu, wa afya najua hiki kitu kimetrand sana ila mwisho wake mbaya.
Ni hivi kuna watu wanasema
Chukua coka cola
Mix na Limao, ukinywa unapata nguvu za kitandani kwa wanaume.
Okey kitu usichokijua ni kwamba !
Coca cola ni carbonated drink ambacho ndani yake kinatiwa chemikali za PHOSPHORIC ACID na CAFFEINE.
hizi chemikali mbili hutumika kupandisha presaure ya damu kuwa juu, na ndio sababu mahali pengine kama mtu pressure ikishuka huambiwa kunywa coca au pepsi kuipandisha.
Kitendo cha watu,
Kukimbilia kunywa coca na Limao kwa wingi wakimini ni njia salama ya kuongeza nguvu za kiume wanajidanganya sababu.
Wataenda kwa mwendo huu,
Ndani ya miezi 6, mfumo wa moyo utatanuka so unatoka kuwa mtu ambaye ulikuwa na pressure ya kawaida 120 unaanza kuwa na pressure ya 150-200.
Aliyetoa wazo hili,
Ni kama anataka wagonjwa wapya wa moyo na pressure waanze kuongezeka, leo watu watakunywa chupa moja ya coka ila baadaye itazaa usugu utaanza kunywa soda 3 kwa siku na mwisho unakuwa umejitegenezea ulevi mkubwa wa kinywaji hiki.
Wito : Endeleani, kuzinywa maana hata nikiwaonya no body ataona hili ni janga_ila ipo siku mtakuja kukumbuka post hii



