
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa YangaSead Ramovic, atajiunga na Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria.
Klabu hiyo imetuma ofa nono kwa Ramovic na wamekubali kulipa fidia ya kuvunja mkataba na Yanga.
Taarifa hii inapewa uzito na tamko lililotolewa kwa Umma na Yanga ikithibitisha kuachana na Kocha huyo raia wa Ujerumani.



