
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema wataionesha Tabora sababu ya kubaki katika michuano ya kimataifa.
βNilikuwa najiuliza Tabora United wamepata wapi usajili wa kututambia, kumbe utamu waliopata kutoka kwa nyuma mwiko na kijana wa mbande ndio unampa jeuri akidhani kila mtu ana mmudu???tutawaonyesha kwanini Simba pekee yetu tupo robo fainali,β amesema Ahmed Ally
Kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi ya mchezo huo wa kiporo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United Jumapili, Februari 2, Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, mjini Tabora.



