Donald Trump ameapishwa kama Rais wa 47 wa Marekani na Jaji Mkuu John Roberts.
Aidha, JD Vance ameapishwa leo kama Makamu wa Rais, ambapo Jaji Brett Kavanaugh aliendesha kiapo hicho.