
Rais wa Marekani Baada ya Kuapishwa jioni ya Leo amesema Katika Sheria anazoenda kuanza Nazo ni pamoja na Kufuta utambuzi wa jinsia tofauti na Mwanaume na Mwanamke Nchini humo
βNasaini leo rasmi kuwa Marekani inatambua jinsia mbili pekee ambazo ni Mwanaume na Mwanamke, tutaongozwa na miongozo yote ila kubwa zaidi hatutamsahau Mungu wetuβ- Donal Trump, Rais wa Marekani wakati anaapishwa leo hii.
Wengi wa watu wazima Nchini marelani (97.3%) wanajitambulisha kama cisgender humu Asilimia nyingine 1.52 hawatambui kuwa ni wanaume, wanawake, au waliobadili jinsia – watu hawa wanaweza kutumia maneno kama vile (Non Binary) au Wasiofuata jinsia kuelezea utambulisho wao wa kijinsia.



