Klabu ya Barcelona inatwaa taji la Supercopa de Espana mbele ya mahasimu wao wa jadi Real Madrid kwenye mchezo wa fainali baada ya kuwashushia kipigo cha aibu goli 5-2.
Real Madrid 2⃣ -5⃣Barcelona
Mbappe ⚽️ Yamal ⚽️
Rodrygo ⚽️ Lewandoski ⚽️
Raphinha ⚽️⚽️
Balde ⚽️
Nyie tu ndio mnashtuka ila hizi 5 Real Madrid wenyewe washazizoea.


