
-Ushindi wa Yanga dhidi ya Al Hilal unawafanya kufikisha alama 7 katika nafasi ya 3 na kuongeza matumaini zaidi ya kufuzu hatua ya robo fainali.
Yanga watahitaji ushindi wa aina yoyote kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Mc Alger utakaopigwa January 18 hapa Nchini.
Mc Alger ili afuzu atahitaji sare yoyote…Ni wakati sahihi kwa wananchi kwenda kuujaza uwanja sasa kwani matumaini ni makubwa kusonga mbele.


