
Mechi ya Inter Milan vs Fiorentina imelazimika kuahirishwa kufuatia kutetereka kwa afya ya Edoardo Bove (aliyenyoosha mikono) ambaye inasubiriwa zaidi taarifa nyingine ila hali yake ni ‘mbaya sana tu’
Nyota huyo mwenye miaka 22 alikuwa anataka kufunga Kamba za viatu akaenda chini mazima na wachezaji wenzie walionekana kububujikwa na machozi mfululizo huku taarifa za awali zikidai anaumwa Kifafa na wengine wakinasibisha kuanguka kwake na shambulio la moyo
Taarifa zaidi zitakujia lakini hali yake sio ya kufurahia!



