
Kazima Kiungo wa Chini kamaliza mechi kama Beki wa kati ….What A Player is this !!
Second Half ,Nadhani Ramovic hakuwa na Maneno mengi zaidi ya Kusema ,”Hivi mnajua watu wametoka DSM kuja hapa kuwaangalia”
Then ndo uliona Yanga Sc second half Waliutaka sana mchezo ,Wamekimbia sana ,Maamuzi sahihi ,Shinda Mipambani 50/50,
Then Kasi ya Passing na Kutafta Nafasi nyuma ya mabeki ilikuwa Juu sana nadhani mechi ndo ilimalizikia Hapo ..
LILE GOLI LA PACOME …Building + Assist + Finishing was Superb nadhani bila Kupepesa macho Ramovic na Pacome zinaiva sana ….ATACHEZA SANA ….
Kwenye Kiungo Abuya anawapa Balance sana Wananchi …Unyumbulifu nadhani ndo silaha yake kubwa sana …Kasi na Unyumbulifu he is Far better than Aucho .
Kitu wananchi watamiss kwa Aucho ni Controlling the game na Game passing yake bado vinahitajika sana maana kuna muda wanapata shida kutoka nyuma wanajikuta wanatumia mipira mirefu .
Aliye Karbu na KIBABAGE amwambie Golden Chance Never Come twice ….Huwez kufanya kitu same mara kumi …



