
Yanga inaweza kurudi kuwa bora sana , na Mashabiki wakapata wanachohitaji kwa ustadi mzuri cha muhimu kwao ni kuanalysis mechi zilizopita hasa Makocha na kurudi uwanja wa mazoezi ‘ kuboresha ‘ kujua ni kitu gani wanakosea wasahihishe na kitu gani wanapatia waboreshe kiasi gani
KOCHA Sead Ramovic i think atakuwa amepata video za mechi zilizopita hadi ya Al Hilal na awaeleze wachezaji wake kuwa hapa tulichofanya hatukufanya kwa usahihi inatakiwa tufanye kwa usahihi , pia Sead Ramovic inatakiwa awaoneshe jinsi ya kufanya why ? Kwasababu Kocha haitakiwi kuwaelezea bali na kuwaonesha namna ya kufanya bora zaidi
Kutokana na Yanga kuwa na wachezaji bora ‘ quality of players ‘ wachezaji kuwa tayari kupambana kwaajili ya taasisi ambayo wanalipwa mishahara itakuwa good , lakini kama wachezaji hawatakuwa tayari ni useless kwa Kocha yani hakuna Kocha ambaye ni magician bila dedication na work smart za wachezaji , ubora upo cha msingi ni kuimprove na Yanga hatari zaidi itaonekana kwa njaa kali mno


