
Klabu ya Yanga inashinda mchezo wake wa 7 mfululizo kwenye ligi kuu NBC, wakiifunga Coastal Union 1-0.
Bao pekee la Jean Othos Baleke ’25 lilotosha kuipa Yanga pointi tatu muhimu, wakifikisha alama 21 nyuma ya Singida BS wanaoongoza ligi wakiwa na alama 22.



