Golikipa Moussa Pinpin Camara (25) amejiunga na klabu ya Simba akitokea Horoya AC .
Amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba mpaka mwaka 2026